Top posts kwenye Facebook

mkandamizaji

Read more


DADAZ ( saa 5:00 asubuhi - 6:00 mchana) Kutokana na hii hali ya uchumi jamani hebu niulize,...

DADAZ ( saa 5:00 asubuhi - 6:00 mchana) Kutokana na hii hali ya uchumi jamani hebu niulize, Ukitoa mchango kwenye sherehe ni lazima utoe na zawadi? SOGA yetu ya leo Unadhani kwa nini wasanii wa maigizo Tanzania wachache waliovuka boda na kufanya kazi ya sanaa nje na nyumbani? Kuijiamini? Lugha? MTUKATI LEO tunazungumzia Lugha ina nafasi kani katika sanaa ya maigizo? Share….Like…Comment #DADAZ LIVE MUDA HUU

 

MY DEAR FRIENDS!!! NINAJUA MUNGU AMEKUBARIKI JAPO KWA KIWANGO KIDOGO, NDIO MAANA NINATAMANI...

MY DEAR FRIENDS!!! NINAJUA MUNGU AMEKUBARIKI JAPO KWA KIWANGO KIDOGO, NDIO MAANA NINATAMANI NIKUSHIRIKISHE BARAKA HII!!! ***************************************** SIKU YA IJUMAA YA KILA MWISHO WA MWEZI, NA TUNAANZA NA IJUMAA HII YA TAREHE 19/04/2019 TUNATARAJIA KWENDA KUWAPELEKEA CHAKULA NA KUZUNGUMZA NA WATOTO WA KIKE YATIMA NA WANAOSHI KTK MAZINGIRA MAGUMU MAENEO YA KIMARA STOP OVER!! ***************************************** UNACHOPASWA KUFANYA UNANUA MCHELE IWE KILO MOJA AU MBILI AU VYOVYOTE UTAKAVYO JALIWA KISHA TUTAUNGANISHA NA NILIOUTOA MIMI HALAFU TUWAPELEKEE!! NA NIMETOA OFA YA SH 2000 KWA KILO MOJA KWA ATAKAYE TAKA KUNUNUA KWA AJILI YA WATOTO HAWA. ***************************************** NIMATUMAINI YANGU UTAJIUNGA NASI IJUMAA HII, ILI TWENDE PAMOJA KUFURAHI NA WATOTO HAWA🙏🏾 ASANTE SANA NDUGU YANGU @makjuice_tz @makjuice_tz KWA KUKUBALI SIKU HIYO WATOTO HAWA WAJICHANE JUICE NZURI TOKA KWAKO...... ****************************************** UNAWEZA WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI 0759 855 855 0762 855 855 MUNGU AIKUMBUKE SADAKA YAKO🙏🏾

 

Dodoma 21 April 2019 Royal Village Kiingilio ~ 10,000 Pia usiache ku subscribe YouTube channel...

Dodoma 21 April 2019 Royal Village Kiingilio ~ 10,000 Pia usiache ku subscribe YouTube channel ya Lady JayDee kama huja fanya hivyo bado Bonyeza hii link 👇🏽👇🏽itakupeleka huko kusikiliza I Don’t Care 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 https://youtu.be/IDBz49HP80M

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani