Top posts kwenye Facebook

Mapema leo na Mheshimiwa Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, jijini Dodoma. Imekuwa siku kubwa leo. Mawaziri wote wa Serikali za Zanzibar na Muungano tumekutana hapa Dodoma, katika mkutano niliouongoza na baadaye jioni tumejumuika na Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais kuhusu Muungano.

January Makamba

Read more

Leo nimekuja kijijini kwetu Mahezangulu, Bumbuli, kumuunga mkono Mzee Makamba kuzindua Chuo cha...

Leo nimekuja kijijini kwetu Mahezangulu, Bumbuli, kumuunga mkono Mzee Makamba kuzindua Chuo cha Dini (Madrasa) alichokijenga kwa ajili ya kinamama. Kwa wanaohitaji kupata thawabu kwenye jambo hili, fursa ipo. Tuwasiliane.

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani