Top posts kwenye Facebook

MAFANIKIO hayaji ukikata TAMAA/ yenyewe huwafuata wanaojituma na wale wasiosukumwa na NJAA... πŸ“Œ

MAFANIKIO hayaji ukikata TAMAA/ yenyewe huwafuata wanaojituma na wale wasiosukumwa na NJAA... πŸ“Œ

FidHop

Read more


Ushauri: Naomba ushauri ndugu zangu mume wangu ananilazimisha kuacha kazi anadai nikae nyumbani...

Ushauri: Naomba ushauri ndugu zangu mume wangu ananilazimisha kuacha kazi anadai nikae nyumbani nilee watoto, na mimi familia yangu inanitegemea na mume wangu tangu amenioa hajawahi kwenda kwetu kusalimia wala hajawahi nisaidia kwa shida yoyote ile zaidi ya kusema pole. Naombeni ushauri wenu, niache kazi kulinda ndoa au nipambane ili kuinusuru familia yangu.

 

Hii hapa link ya kuweza kuisikiliza I Don’t Care πŸ‘‰πŸ½ https://youtu.be/IDBz49HP80M...

Hii hapa link ya kuweza kuisikiliza I Don’t Care πŸ‘‰πŸ½ https://youtu.be/IDBz49HP80M Bonyeza uweze kusikia, na tafadhali share na wenzako. Asante πŸ™πŸ½

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani