Top posts kwenye Facebook

ASHUKURIWE MUNGU NANYI MARAFIKI ZANGU KWA KUSABABISHA MPAKA WAANDAAJI WA TUZO ZA @maranatha_awards TOKA NCHINI KENYA KUIONA NYIMBO YANGU YA “Kemea Pepo” NA KUIWEKA KWENYE AWARD !! Nitawaambia utaratibu wa kunipigia kura, si mnajua peke yangu siwezi!! ASANTENI MARAFIKI ZANGU WOTE!! #MweAngalauNipateKaTuzoNipigeLilePoziLaKulalaYenyeweIkoPembeni😀🙏🏾🏃🏽#

mkandamizaji

Read more

Leo nimekuja kijijini kwetu Mahezangulu, Bumbuli, kumuunga mkono Mzee Makamba kuzindua Chuo cha...

Leo nimekuja kijijini kwetu Mahezangulu, Bumbuli, kumuunga mkono Mzee Makamba kuzindua Chuo cha Dini (Madrasa) alichokijenga kwa ajili ya kinamama. Kwa wanaohitaji kupata thawabu kwenye jambo hili, fursa ipo. Tuwasiliane.

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani